John 6:24-25

24Mara wale watu wakatambua kwamba Isa hakuwepo hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Isa.

Isa Ni Mkate Wa Uzima

25 aWalipomkuta Isa ng’ambo ya bahari wakamuuliza, “Rabi, umefika lini huku?”

Copyright information for SwhKC